
SAUTI:JUMA MGUNDA AFANYA MABADILIKO KIKOSI CHA SIMBA
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amebainisha kuwa amefanya mabadiliko kwenye safu ya ulinzi ili kupata kikosi cha kwanza kwa kuwa bado hajakipata
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amebainisha kuwa amefanya mabadiliko kwenye safu ya ulinzi ili kupata kikosi cha kwanza kwa kuwa bado hajakipata
ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa Yanga ni kubwa kuliko Al Hilal
BONDIA Mtanzania Ibrahim Class anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa mpinzani wake kutoka Mexico, Gustavo Pina katika pambano la kimataifa la uzito wa feather litakalofanyika leo kwenye ukumbi wa Mlimani City. Akizungumza mara baada ya kupima uzito jana, Pina alisema kuwa kamwe hawezi kupoteza mapambano mawili mfululizo na amekuja ili kurekebisha rekodi yake baada ya…
MCHEZO mmoja wa Ligi Kuu Bara leo unatarajiwa kuchezwa, Uwanja wa Sokoine ambapo itakuwa ni kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Azam FC. Wageni Azam FC, jana waliwasili Mbeya na walifanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya mchezo wa leo miongoni mwao ni pamoja na nyota Agrey Morris. Idd Nado ambaye alikuwa nje kwa muda…
FISTON Mayele mzee wa kutetema ni miongoni mwa nyota ambao walicheka na nyavu kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbuni FC ya Arusha uliochezwa Uwanja wa Avic Town. Mayele ni mshamuliaji namba moja ndani ya Yanga kutokana na kasi yake kuendelea pale ambapo aliishia msimu uliopita. Kwenye ligi Mayele katupia mabao matatu baada ya kucheza…
CLATOUS Chama nyota wa kikosi cha Simba raia wa Zambia anatarajiwa kuwa miongoni mwa watakaokuwa kwenye mchezo dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Jumapili. Chama ambaye yupo kwenye fainali ya kuwania tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi ndani ya Simba chaguo la mashabiki hakuwa sehemu ya kikosi cha Simba kilichoweka kambi Zanzibar. Sababu kubwa ya…
DEJAN maarufu kama Mzungu wa Simba jana alitoa taarifa kuhusu kuvunjika kwa mkataba wake ndani ya kikosi cha Simba, hizi hapa sababu nne ambazo zimefanya nyota huyo kuondoka
BONDIA mwenye mbwembwe nyingi ulingoni Mandonga mtu kazi ameweka wazi kuwa anamtaka Hassan Mwakinyo kwenye pambano
NDANI ya dakika 180, Zanzibar, Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda ameshuhudia wachezaji wake wakishinda mechi zote mbili. Kwenye mechi hizo Simba haijaruhusu bao la kufungwa huku ikifunga jumla ya mabao manne, moja ni kwa pigo la penalti. Mchezo wa kwanza ilikuwa dhidi ya Malindi FC ambapo Simba ilishinda bao 1-0 huku mtupiaji akiwa ni…
LEO Septemba 29,2022 msafara wa Azam FC ukitarajiwa kuelekea Mbeya kwenye maandalizi ya mwisho ya mchezo wao dhidi ya Tanzania Prisons, kiungo wao Ibrahim Ajibu ni miongoni mwa watakaoaki Dar. Azam FC inarejea kwa mara nyingine Mbeya kwenye mchezo wa ligi baada ya ule uliopita kucheza dhidi ya Mbeya City na kuambulia ushindi wa bao…
ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa baada ya kutangazwa rasmi kwenye Idara ya Habari na Mawasiliano alipongezwa na Haji Manara ambaye ni Msemaji wa Yanga. Ameweka wazi kuwa Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba naye alimpa pongezi. Septemba 27, Kamwe alitangazwa kuwa Ofisa Habari na Priva Abiud maarufu…
UONGOZI wa Simba kupitia kwa Mtendaji Mkuu Barbara Gonzalez umeweka wazi kuwa straika wao Dejan Georgijevic hajafuata taratibu kwenye suala la kuvunja mkataba wake. Nyota huyo maarufu kama Mzungu wa Simba, mapema jana Septemba 28,2022 kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram alibainisha kuwa amethibitisha mkataba wake wa ajira ndani ya Simba umesitishwa. “Ninathibitisha kwamba…
REKODI kwa wachezaji wale ambao wanafungiwa mechi zao kutokana na kuonyesha nidhamu mbaya katika Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2022/23 haipaswi kupewa nafasi. Wakati mwingine kwa sasa ni mwendelezo wa ligi baada ya muda wa mapumziko kutokana na mechi ambazo zilikuwa zinaendelea kwenye timu za taifa. Ukweli ni kwamba kurejea kwa ligi ni muhimu…
IMEFICHUKA sababu 4 zamng’oa staraika Mzungu Simba,Yanga yamaliza kazi mapema CAF, ndani ya Spoti Xtra Alhmaisi
ANDRE Mtine Mtendaji Mpya wa Yanga ameweka wazi kuwa anaamini Yanga ni timu kubwa jambo ambalo limemfanya awe hapo na imani yake ni uona anaweza kufanya mambo makubwa kufikia malengo yaliyowekwa na timu hiyo
BONDIA nyota wa Tanzania, Ibrahim Class ametamba kumchapa mpinzani wake Gustavo Pina Melgar kutoka Mexico katika pambano la kimataifa lililopangwa kufanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City. Pambano hilo limeandaliwa na Kampuni ya MO Boxing, ikiwa ni mara ya kwanza kwa kampuni hiyo chini ya mfanyabiashara maarufu, Mohammed Dewji. Class amesema kuwa baada ya kukaa nje…
HII hapa CV ya Mtendaji Mkuu wa Yanga ambaye ametambulishwa Septemba 27,2022 na Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said