JUMA MGUNDA ATAJA ANACHOJIVUNIA KUIKABILI YANGA

KOCHA Mkuu wa Simba, Juma Mgunda ametamba kuwa katika maisha yake ya soka hajawahi kuiogopa timu yoyote huku akitamba kuwa yupo tayari kwa ajili ya mapambano Kariakoo Dabi. Kariakoo Dabi hiyo inatarajiwa kupigwa Jumapili saa kumi na moja kamili jioni kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo, Mgunda ataingia uwanjani akiwa na…

Read More

YANGA V SIMBA, HAWA HAPA WAAMUZI

WAAMUZI wa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga v Simba wametangazwa. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Oktoba 23, Uwanja wa Mkapa ambapo kiingilio kwa mzunguko ni 5,000. Taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB) imemtaja Ramadhan Kayoko kuwa ni mwamuzi wa kati. Pia wengine ambao atafanya nao kazi kwenye mchezo huo…

Read More

AZAM FC WANAZITAKA POINTI TATU ZA KMC

HASHEEM Ibwe, Ofisa Habari wa muda ndani ya Azam FC ameweka wazi kuwa wanawaheshimu wapinzani wao KMC lakini pointi zao tatu wanazitaka jambo linalowafanya wajiandae vizuri. Ibwe amepewa majukumu kwa muda akichukua mikoba ya Zakaria Thabit ambaye amefungiwa kutojihusisha na masuala ya soka kwa muda wa miezi mitatu na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa…

Read More

NEEMA NYINGINE YANGA YALETWA NA UNICEF

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Watoto Duniani (Unicef) wameingia mkataba wa kufanya kazi na Klabu ya Yanga kwa muda wa miezi sita huku wakiahidi mengi mazuri. Yanga wameingia mkataba huo hivi karibuni baada ya pande mbili kufikia makubaliano mazuri kati ya shirika hilo na klabu hiyo. Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said…

Read More

BUKU TANO TU KUWAONA AZIZ KI, PHIRI NA MAYELE

KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara wa Kariakoo Dabi kati ya Yanga v Simba buku tano tu inatosha kuona dakika 90 za jasho. oKTOBA 23,2022 mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kwa kila timu kupambania pointi tatu. Yanga ambao ni wenyeji wa mchezo huu tayari wamebainisha viingilio kwa ajili ya mashabiki kuona burudani itakayotolewa na mastaa wao…

Read More

JUMA MGUNDA HESABU ZAKE KWA WANANCHI

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba ameweka wazi kuwa kwa sasa akili zake ni kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga. Mgunda anafanya kazi kwa ushirikiano na Seleman Matola wote wakiwa ni wazawa wamefanikiwa kukiongoza kikosi hicho kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Oktoba 23,2022 Uwanja wa Mkapa mchezo wa Kariakoo…

Read More