
MGUNDA:MAANDALIZI YOTE KUWAKABILI AZAM YAMEKAMILIKA
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wamechukua maandalizi yote muhimu kuikabili Azam FC kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa kesho. Mgunda amesema kuwa anatambua uimara wa Azam FC pamoja na benchi lao la ufundi jambo ambalo linawafanya wawe makini. Kesho Simba itakaribishwa na Azam FC ambapo hakuna timu iliyotoka kuvuna pointi tatu kwenye…