WAKATI WENU SASA KIMATAIFA SIMBA, YANGA

TAYARI makundi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika yamewekwa hadharani huku wawakilishi wetu Simba na Yanga wakiwafahamu wapinzani wao ambao watachuana nao kuisaka hatua ya robo fainali ya mchuano hiyo. Simba wamepangwa na timu za Horoya, Raja Casablanca na Vipers huku Yanga wakiwa kundi moja na miamba Real Bamako, TP…

Read More

AZAM FC KUTUPA KETE YAO KAITABA

KALI Ongala, Kaimu Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wamejiandaa vizuri kwa ajili ya mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar. Azam FC inaanza leo mzunguko wa pili baada ya kufunga mzunguko wa kwanza na rekodi ya kushinda mechi 8 mfululizo chini ya Ongala. Kwenye msako wa pointi 24, Ongala…

Read More

BEKI MTIBWA SUGAR AINGIA ANGA ZA SINGIDA BIG STARS

BAADA ya kuwaaga mabosi wake Mtibwa Sugar beki wa kazi Nickson Kibabage anatajwa kuwa kwenye rada za kuibukia ndani ya Singida Big Stars. Nyota huyo aliwaaga wachezaji na viongozi wake rasmi Desemba 13 kwa kueleza kuwa anashukuru kwa muda wote ambao alikuwa ndani ya timu hiyo. Pia alikuwa anavaa kitambaa cha unahodha jambo ambalo liliwafanya…

Read More

AZIZ KI ATAJWA KICHAPO CHA KURUGENZI

KOCHA msaidizi wa Kurugenzi FC, Bernard Magogo amesema kuwa sababu kubwa iliyowavuruga wachezaji wake wakapoteza kwa kufungwa mabao 8-0 ni safu ya kiungo ya Yanga iliyokuwa inaongozwa na Aziz KI. Desemba 11,2022 Kurugenzi FC ilikubali kupoteza mchezo wa raundi ya Pili jambo lililoifanya ikafungashiwa virago na mabingwa watetezi.  Magogo amesema kuwa walikuwa na mbinu walizopanga…

Read More

MAKUNDI TAYARI YAMESHAPANGWA, MAISHA YAENDELEE

KWENYE ulimwengu wa mpira kwa sasa kinachozungumzwa ni kuhusu makundi ambayo yamepangwa huko Misri ambapo wawakilishi wa Tanzania kila mmoja ameona atakayecheza naye. Simba yupo kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika na Yanga yupo kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, hapa kazi ipo hasa ukizingatia inapokuja suala la mashindano ya kimataifa ni lazima kila mmoja afanye kweli….

Read More

HII HAPA RATIBA YA YANGA KIMATAIFA

KLABU ya Yanga kwenye hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika imedondokea kundi D ambalo lina timu nne ikiwa ni pamoja na wawakilishi hawa kutoka Tanzania. Timu nyingine ambazo zipo kwenye Kundi D ni TP Mazembe, US Monastir na Real Bamako. Ikumbukwe kwamba US Monastri wao waliwafungashia virago RS Berkane huku Mazembe wao waliwahi kukutana…

Read More