
IHEFU KUMKOSA BEKI WA KAZI KWA MKAPA
TEMMY Felix, Kocha Msaidizi wa Ihefu amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya kuikabili Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara licha ya kumkosa beki wao wa kazi Juma Nyosso. Ihefu ikiwa imetoka kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya Azam FC inakutana na Simba iliyotoka kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Singida United….