
ATEBA NA KAPOMBE WANA JAMBO LAO
LEONEL Ateba mshambuliaji wa Simba amejenga ushikaji mkubwa na mwamba Shomari Kapombe kwenye anga la kimataifa kutokana na kutumia kwa umakini pasi ambazo zinatoka kwenye miguu ya mwamba huyo. Ipo wazi kwamba Simba katika anga la kimataifa baada ya kucheza mechi sita kwenye hatua ya makundi ni mabao 8 safu ya ushambuliaji imefunga kinara wa…