
32 BORA SIMBA, YANGA NA AZAM WAWAJUA WAPINZANI WAO
TAYARI timu ambazo zimetinga hatua ya 32 bora zimewajua wapinzani wao kwenye Kombe la Azam Sports Federation. Simba SC itacheza dhidi ya Coastal Union, Yanga SC itacheza dhidi ya Rhino Rangers, Azam FC itakipiga dhidi ya Dodoma Jiji. Singida Big Stars wao watamenyana na Ruvu Shooting, Kagera Sugar v Ken Gold, Geita Gold v Nzega…