
BALEKE APEWA SAA 48, SINGIDA BIG STARS YAISHTUKIA YANGA KWA GOMEZ
BAADA ya kuondoka, Mbarazil Sima ampa Baleke saa 48, Singida Big Stars yaishtukia Yanga kwa Gomez ndani ya Championi Jumatano
BAADA ya kuondoka, Mbarazil Sima ampa Baleke saa 48, Singida Big Stars yaishtukia Yanga kwa Gomez ndani ya Championi Jumatano
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet kwa kushirikiana na watengenezaji mahiri wa michezo ya kasino za mitandaoni – Evolution Gaming, wanakuletea mchezo wa kijanja uitwao Crazy Time. Crazy Time ni mchezo wa kipekee kutoka studio za Evolution Gaming. Mchezo huu umejengwa na dhamira ya kukamilisha ndoto ambazo hudakwa na kinasa ndoto (Dream…
KLABU ya Al Hilal ya nchini Sudan kesho Januari 25,2023 inatarajiwa kuwasili nchini Tanzania kwa ajili ya kuweka kambi ya kujiandaa na michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kutokana na mahusiano mazuri ambayo wamejenga dhidi ya Klabu ya Simba SC ya Tanzania hawa watatakuwa wenyeji wao. Wakiwa nchini watacheza michezo mitatu ya kirafiki dhidi ya…
MCHEZO uliopita Namungo FC iliyeyusha pointi tatu mazima ikiwa nyumbani. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Majaliwa ulisoma Namungo 0-2 Polisi Tanzania. Leo Januari 24 kikosi hicho kina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya KMC yenye maskani yake Kinondoni. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Uhuru. Nyota Shiza Kichuya ameweka wazi kuwa…
MABOSI wa Azam FC walikuwa kwenye hesabu za kuinasa saini ya kipa namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya. Dili hilo ghafla lilitibuka baada ya ya mabosi hao kupata zali la kipa mwingine ambaye walikuwa wakimfuatilia. Ikumbukwe kwamba kwenye dirisha dogo Azam FC imefanya usajili wa mchezaji mmoja pekee huku idara nyingine ikiwa ni ushambuliaji na…
56 ni pointi ambazo wanazo kibindoni Yanga baada ya kupata ushindi kwenye mchezo wa leo dhidi ya Ruvu Shooting. Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 umesoma Yanga 1-0 Ruvu Shooting na kuwafanya wayeyushe pointi tatu mazima. Ni Mpoki Mwakinyuke ambaye ni nyota wa Ruvu Shooting alijifunga kwenye harakati za kuokoa hatari langoni mwake. Kipa…
“TUNAHITAJI kushinda na sio matokeo mabaya kwenye mechi zetu ambazo tunacheza na kila kitu kinakwenda sawa,” ni Christina Mwagala, Ofisa Habari wa KMC. Timu hiyo inakibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Huo ni mzunguko wa pili ambapo kila timu inasaka ushindi kwa hali na mali kufikia…
WANANCHI wanaongoza ndani ya dakika 45 za mwanzo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. Ruvu Shooting wamejitungua wenyewe dakika ya 34 kupitia kwa nyota wao Mpoki Mwakinyuke. Licha ya Ruvu Shooting kujifunga bado Yanga ndani ya dakika 45 wameonyesha nguvu kubwa kuliandama lango la Ruvu Shooting wakimtumia mshambuliaji wao Fiston Mayele…
HIKI hapa kikosi cha Yanga dhidi ya Ruvu Shooting mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Mkapa:- Diarra Djigui Djuma Shaban Lomalisa Bacca Job Mudhathir Sure Boy Moloko Mayele Musonda Farid Akiba Metacha Mwamnyeto Shomary Bryson Bangala Aziz KI Ambundo Mzize Ngush
REJEA andiko kwenye makala ya gazeti la Championi Jumamosi la Januari 21,2023 ukurasa wa tano. Labda ulikuwa na mambo mengi umesahau ngoja nikukumbushe kichwa cha habari cha makala hiyo, ‘Bruno Gomez… Akikufunga, pointi tatu sahau… Wakati makala inaandikwa tayari mwamba alikuwa ametupia kambani mabao 7 kwenye mechi sita na zote Singida Big Stars walisepa na…
IMEKUWA ngumu kwa wachezaji wazawa kuwa kwenye mwendelezo bora kila wakati haina maana kwamba hawawezi hapana inaonekana wanakata tamaa mapema. Kwa sasa ukitazama kwenye kila idara wale ambao wanafanya vizuri ni wachezaji wakigeni hakika hili ni jambo ambalo lazima liwashtue wazawa. Angalau miaka ya hivi karibuni kwenye eneo la makipa wazawa walikuwa wanaonyesha ule uwezo…
SAKATA la nyota wa Yanga, Feisal Salum na mabosi wake Yanga bado halijafika mwisho ambapo waajiri wake hao wameweka wazi bado mchezaji ni mali yao. Fei aliwashukuru Yanga na kuweka wazi kuwa anahitaji kupata changamoto nyingine kwa kile kilichoelezwa kuwa amevunja mkataba na kurejesha fedha ambazo zilikuwa zinahitajika kwa mujibu wa mkataba wake. Kesi hiyo…
WAKATI Simba wakitamba kupiga pira Dubai kutokana na kambi yao ya wiki moja waliyoweka huko, vinara wa Ligi Kuu Bara Yanga wametamba kuwapigia pira popcon wapinzani wao Ruvu Shooting. Leo Uwanja wa Mkapa, Yanga watawakaribisha Ruvu Shooting kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza Yanga ilishinda kwa…
WAKIFANYA mazoezi pamoja na timu kwa siku mbili, Kocha msaidizi wa Simba, Juma Mgunda amevutiwa na nyota wapya waliosajiliwa na timu hiyo, katika dirisha dogo msimu huu. Nyota hao wapya waliosajiliwa na Simba, ni mastraika Jean Baleke, Mohammed Mussa na kiungo mkabaji Ismael Sawadogo. Mastaa hao walifanya mazoezi hayo kwa Alhamisi na Ijumaa iliyopita wakijiandaa…
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele amesema kuwa atahakikisha kuwa anaisaidia timu hiyo kuibuka na ushindi katika mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting huku akitamani kufunga bao katika mchezo huo. Yanga leo Jumatatu wanatarajiwa kuwakaribisha Ruvu katika mchezo wa ligi kuu unaotarajiwa kufanyika katika Uwanja wa Mkapa, Dar. Akizungumza na Championi Jumatatu, Mayele…