MTIBWA SUGAR 0-3 SIMBA

DAKIKA 45 za mwanzo zimekamilika Uwanja wa Manungu kwa timu zote kuvuja jasho kusaka mabao ya kuongoza. Mtibwa Sugar 0-3 Simba unasoma ubao wa Uwanja wa Manungu kwa sasa huku mashabiki wakiwa wamejitokeza kwa wingi. Ni Jean Baleke mshambuliaji wa Simba katupia mabao yote matatu hivyo anajihakikishia nafasi ya kusepa na mpira wake. Huu ni…

Read More

KMC YAVUNJA REKODI MBOVU YASHINDA KWA MARA YA KWANZA

KMC inayonolewa na Hitimana Thiery iliambulia pointi moja kwenye sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Mtibwa Sugar huku mechi sita wakiambulia kichapo mazima. Timu hiyo KMC ilishuhudia ubao ukisoma KMC 1-3 Simba, Desemba 26,2022,Ihefu 1-0 KMC, Januari 3,2023,Mtibwa Sugar 1-1 KMC, Januari 13,2023. KMC 1-3 Namungo, Januari 24,2023,Ruvu Shooting 2-1 KMC, Februari 5,KMC 0-1 Yanga Februari 22 na Azam FC 1-0 KMC Februari 25….

Read More

YANGA, WINGA BAMAKO MAMBO SAFI

KWA mara ya pili Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi amekutana na winga Real Bamako ya nchini Mali, Cheickna Diakite na kufanya naye kikao cha siri. Jana baada ya mchezo huo, kigogo wa Yanga alimwambia mwandishi wa gazeti hili kuwa, Diakite ni mchezaji mzuri ambaye amekuwa akimfuatilia tangu zamani kwa lengo la kumsajili kikosini…

Read More

SIMBA YAIFUATA MTIBWA SUGAR

KIKOSI cha Simba leo Machi 9 2023 kimeibukia Morogoro kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar. Chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira mapema leo kilifanya mazoezi kabla ya kuanza msafara wa kuelekea Moro mji kasoro bahari. Huu ni mchezo wa mzunguko wa pili ambao unatarajiwa kuchezwa Jumamosi saa 10:00 jioni…

Read More

UNAMBIWAJEE UNAPOCHEZA SLOTI YA AVIATOR-MERIDIANBET UNAPATA MIZUNGUKO 500 YA BURE KILA SIKU

Haijawahi kuwa kinyonge pale Meridianbet wanapoanzisha jambo lao, mwezi huu tena wamekuja na sloti ya Aviator, ndani ya Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet unambiwa sloti hii inatoa hela balaa unaanzaje kuikosa hii. Kwa dau la kuanzia Tsh 200 unaweza kuizalisha na kuwa mamilioni ya hela kupitia mizunguko 500 ya bure inayotolewa kila siku baada ya…

Read More

KMC WAICHAPA KAGERA SUGAR

HATIMAYE leo Machi 9,2023 KMC imepata ushindi mbele ya Kagera Sugar na kusepa na pointi tatu mazima. KMC haikuwa kwenye mwendo mzuri kwenye mechi zake za hivi karibuni ambapo ilipotoka kunyooshwa bao 1-0 dhidi ya Yanga ikapoteza pia mbele ya Azam FC kwenye mechi za ligi ilizocheza Dar. Ni mabao ya Daruesh Saliboko dakika ya…

Read More

KAGERA SUGAR KWENYE KIBARUA UHURU

NI kocha bora wa Februari Mecky Maxime leo Machi 9,2023 ana kibarua cha kuongoza kikosi chake dhidi ya KMC. Kocha huyo ambaye anapenda kuona vijana wakicheza kwa kujiamini mchezo wake uliopita wa ligi alishuhudia ubao wa Uwanja wa Kaitaba ukisoma Kagera Sugar 1-0 Namungo. Ilikuwa ni Februari 18 ambapo bao pekee la ushindi lilijazwa kimiani…

Read More