
LEGEND MKUDE DAKIKA MOJA KAAGWA SIMBA
LEGEND Jonas Mkude ameaagwa na mabosi zake wa Simba kwa muda wa dakika moja baada ya kujiunga na Yanga. Mkude ni ingizo jipya ndani ya Yanga akiungana na viungo wengine ikiwa ni Aziz KI, Zawad Mauya ambao walikuwa katika kikosi cha Yanga kilichotwaa ubingwa msimu wa 2022/23. Ikumbukwe kwamba Mkude alidumu ndani ya Simba kwa…