
KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA SIMBA
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Agosti 13 Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kimetambulishwa tayari. Huu ni mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ambapo Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi itamenyana na Simba. Ni Djigui Diarra langoni Yao Lomalisa Mutambala Bakari Nondo Bacca Aucho Max, Mudathir Mzize Kennedy Musoda Jesus Moloko