
MWAMBA KASEKE BADO YUPO NDANI YA SINGIDA FOUNTAIN GATE
NYOTA Deus Kaseke ni miongoni mwa wale watakaokuwa kwenye kikosi cha Singida Fountain Gate kwa ajili maandalizi ya msimu wa 2023/24. Timu hiyo kambi yake itakuwa Arusha baada ya mpango wa kuelekea Tunisia kusitishwa. Kaseke ni Legend ndani ya timu hiyo kutokana na uwezo wake kwenye eneo la kiungo na aliibuka hapo akitokea Yanga. Mchezo…