NYONI: CHAMA AMEONGEZEKA SPIDI HUKO JANGWANI

ERASTO Nyoni kiraka anayetimiza majukumu yake ndani ya kikosi cha Namungo kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda ameweka wazi kuwa nyota Clatous Chama amebadilika hasa kwenye upande wa spidi ila watu wanamtazama kwa mazoea. Ipo wazi kwamba Chama ni mchezaji wa kwanza kutambulishwa ndani ya kikosi cha Yanga kwenye dirisha kubwa la usajili ilikuwa ni…

Read More

MWAMBA MUKWALA AWEKA REKODI YAKE, KAZI BADO

MWAMBA Steven Mukwala ameandika rekodi yake ya kuwa nyota wa kwanza kufunga hat trick ndani ya kikosi cha Simba kwa msimu wa 2024/25 ukiwa ni msimu wake wa kwanza. Nyota huyo anayevaa jezi namba 11 alifanya hivyo kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid ilikuwa Machi Mosi 2025…

Read More

WABABE WA SERIE A WAKABANA KUWANIA UBINGWA

Shughuli imemalizika katika dimba la Diego Armando Maradona mjini Naples, wenyeji Napoli wametoshana nguvu na Inter Milan kwa sare ya 1-1 kwenye mechi dume kweli kweli, Inter Milan wakiwa wa kwanza kuliona lango kupitia kwa Federico Dimarco mapema dakika ya 22 kabla ya Philip Billing kusawazisha mambo jioni dakika ya 87. Inter wanaendelea kusalia kileleni…

Read More

PAMBA JIJI WAMEPOTEZA MBELE YA YANGA

AZIZ Ki ambaye alianzia benchi kwenye mchezo dhidi ya Pamba Jiji, Uwanja wa CCM Kirumba amepachika mabao mawili kati ya matatu waliyonayo Yanga. Ubao umesoma Pamba Jiji 0-3 Yanga, Shadrack Boka alipachika bao la ufunguzi dakika ya 28 kwa pigo la faulo ni pointi tatu mali ya Yanga ambayo dakika 45 za mwanzo walikuwa wakishambuliwa…

Read More

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA PAMBA JIJI

HIKI hapa kikosi cha Yanga dhidi ya Pamba, Uwanja wa CCM Kirumba ambapo ingizo jipya ndani ya kikosi hicho kwenye dirisha dogo limeanzia benchi na walioanza kikosi cha kwanza ni Djigui Diarra, Israel Mwenda, Boka, Nondo. Ibrahim Bacca, Khalid Aucho, Duke Abuya, Mudathir Yahya washambuliaji wawili Prince Dube na Clement Mzize kiungo Maxi ameanza kikosi…

Read More

WATATU SIMBA OUT, MTIKISIKO MKUBWA

NYOTA watatu wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids watakosekana kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union unaotarajiwa kuchezwa  Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Machi Mosi 2025 ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili. Kwenye msimamo Simba ni namba mbili baada ya mechi 20 imekusanya pointi 51 itakuwa na kibarua cha…

Read More

SIMBA YAWAFUATA COASTAL UNION KAMILI

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kimekwea pipa kuelekea Arusha kwa maandalizi ya mwisho kuikabili Coastal Union wakiwa kamili gado kuelekea mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ipo wazi kwamba mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 2-2 Coastal wakigawana pointi…

Read More