
RAIS MWINYI AWAPONGEZA YANGA SC
MAKOMBE matano ambayo Yanga SC imeyatwaa msimu wa 2024/25 yamefika Ikulu ya Zanzibar na zawadi wakakakabidhiwa Yanga SC ikiwa ni sehemu ya kutambua mafanikio ambayo wamefikia. Rais wa Klabu ya Yanga SC, Iniinia Hersi Said alimkabidhi makombe hayo matano Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussen Ali Mwinyi ambaye aliwapongeza Yanga…