
HII HAPA DROO YA HATUA YA 16 BORA EURO 2024
DROO YA HATUA YA 16 BORA #EURO2024 Uhispania ?? vs ?? Georgia Ujerumani ?? vs ?? Denmark Ureno ?? vs ?? Slovenia Ufaransa ?? vs ?? Ubelgiji Romania ?? vs ?? Uholanzi
DROO YA HATUA YA 16 BORA #EURO2024 Uhispania ?? vs ?? Georgia Ujerumani ?? vs ?? Denmark Ureno ?? vs ?? Slovenia Ufaransa ?? vs ?? Ubelgiji Romania ?? vs ?? Uholanzi
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Meridianbet Zoran Milosevic, atakuwa mzungumzaji mkuu katika Siku ya Wawekezaji ya Senzal, moja ya jukwaa muhimu zaidi la wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa duniani. Tukio hili linafanyika leo Jumatano tarehe 26 Juni huko Belgrade nchini Serbia. Jukwaa la Senzal hukusanya wawekezaji na wafanyabiashara, wataalamu wa fedha, na viongozi wa makampuni kama Meridianbet…
Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal na Ufaransa Thierry Henry ni miongoni mwa majina yanayotajwa kuchukua nafasi ya Rob Page kama meneja wa Wales. Henry, ambaye amewahi kuinoa Monaco na Montreal Impact, anasimamia kikosi cha Ufaransa chini ya umri wa miaka 21 na anajiandaa kuiongoza timu ya Olimpiki ya nchi yake kwenye Michezo huko Paris mwezi…
Timu ya taifa ya Ufaransa imelazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Poland katika mchezo wa raundi ya tatu wa Kundi D kwenye EURO 2024. Sare hiyo inaifanya Ufaransa kumaliza nafasi ya pili kwenye kundi hilo ingawa tayari ilishafuzu hatua ya mtoano. Katika mchezo mwingine wa kundi D, Austria imebainisha Uholanzi 3-2 na kumaliza kileleni mwa…
Mgogoro wa Simba SC na Coastal Union kwa usajili wa Lameck Lawi kama umeufuatilia kwa makini kuna namna ambavyo mpaka sasa inaonyesha utaenda kumalizwa na Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) ama Shirikisho la Soka la Dunia (FIFA) tu. Ndiyo, CAF sio FIFA na FIFA sio CAS watu huwa wanachanganya hivi vyombo viwili,…
Kiungo mkabaji wa Simba, Mzamiru Yassin amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kusalia Msimbazi. Mkataba wa Mzamiru umemalizika mwishoni mwa msimu huu na mapendekezo ya kiufundi yamependekeza mchezaji huyo kubaki kutokana na mchango wake, hivyo uongozi wa Simba umemuongezea miaka mingine miwili ya kuendelea kusalia kikosini.
MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe, amesema kuwa maandalizi ya msimu ujao wa 2024/25 (Pre Season) kwa kikosi cha Yanga yataanza Julai Mosi. Kupitia taarifa ya klabu hiyo imeelezwa kuwa kuhusu ni wapi kambi hiyo itawekwa na juu ya kikosi cha msimu huo kwa maana ya wachezaji wapya na walioachwa itajulikana wakati…
AZAM FC yatangaza ratiba yake ya ‘pre-season’ kuanzia tarehe 5 hadi mwishoni mwa Julai kuelekea Ngao ya Jamii. Kambi ya timu hiyo, wamepanga kwenda kuiweka nchini Morocco, lengo ni kubeba Ubingwa wa Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho.
KLABU ya Simba imevuna zaidi ya Dola 200,000 (zaidi ya Shilingi 520Mil kwa kumuuza beki wa kati, Henock Inonga. Henock Inonga kauzwa FAR RABAT
Mlinda Mlango wa Guinea amekamatwa na Polisi wa Uswisi baada ya kukutwa na cocaine ikiwa ni baada ya kuhudhuria chakula cha jioni ambapo Aly Keita alidaiwa kunywa divai na baadaye dawa za kulevya. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Guinea pia anashukiwa kwa utakatishaji fedha ya kiasi cha Euro 50,000 Aly Keita alikanusha taarifa hizo akitangaza…
Huna haja ya kujiuliza kuwa utapiga wapi mpunga siku ya leo, wewe ingia tuu Meridianbet kwani hapa utakutana na mechi kibao zinazopigwa ambapo utachagua timu zako za ushindi na ubashiri hapa. Michuano ya COPA AMERICA leo hii saa saba usiku ndani ya kundi A, Peru ambaye ametoka kutoa sare mchezo wake wa kwanza, leo watakipiga…
Expanse Kasino IMEITIKA!!! Binadamu yeyote lazima anakuwa na ndoto kubwa katika maisha yake, lakini wengi wana ndoto ya kumilika pesa nyingi ili waishi vizuri, Iko hivi chimbo ni moja tu Meridianbet kasino ya mtandaoni, kuna michezo ya Expanse muda wowote inakupa utajiri. Jisajili hapa kufukuzia ndoto zako kirahisi huhitaji uwe na mtu wa kati (Connection)….
Meneja wa Beki wa Yanga, Bakaro Mwamnyeto amefunguka kuwa Klabu ya Simba Sc imetuma Ofa Nono kwaajili ya kuinasa saini ya Mwamnyeto. View this post on Instagram A post shared by Sports Arena (@sportsarena88.9)
Kasino imejaa utajiri! Moja ya michezo inayoweza kukupa hela kubwa leo, ni mchezo wa namba unaofanya vizuri madukani na kwenye kasino ya mtandaoni, mchezo huu wa kasino unaitwa Hot Keno. Jisajili hapa ili uwe Milionea kwa dau lako dogo tu. Mchezo wa Hot Keno ni mchezo wa kasino ya mtandaoni wa Meridianbet uliotengenezwa na EGT…
Mchambuzi wa michezo nchini @salehjembefacts amefanya mahojiano na Global Tv na kudai kuwa tetesi za Chama kuondoka Simba hata yeye anazisikia ila kiutaratibu mashabiki wanapaswa kungoja tamkoa rasmi la Klabu husika.
Wakali wa ubashiri Tanzania nzima Meridianbet wanakwambia hivi, wakati huu ndio wako wa kutusua mapene na mechi hizi za EURO na COPA AMERICA. Usisubiri kuhadithiwa ingia na ujaribu bahati yako. Didier Deschamps na France yake wataumana dhidi ya Poland ambao ndio vibonde wa kundi D wakiwa hawajashinda mechi hata moja mpaka sasa. Meridianbet wamempa nafasi…
NGOMA ni nzito kwa mabosi wa Simba dhidi ya kiungo mshambuliaji Clatous Chama kuhusu ishu ya kuongeza mkataba mpya ndani ya kikosi hicho. Kiungo huyo msimu wa 2023/24 alotupia mabao saba na pasi sita za mabao mkataba wake umegota mwisho na hajaongeza dili jipya kutokana na kinachoelezwa kuwa anahitaji mshahara wa zaidi ya milioni 30….