
AMEIBUA SAKATA LA DUBE BOSI SIMBA
AHMED Ally,Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa kwa namna yoyote ile walikuwa wanaifunga Azam FC kwenye Mzizima Dabi bila kujali uwepo ama kutukuwepo kwa mwamba Prince Dube huku akiliibua upya sakata la nyota huyo