Matokeo ya CAF Champions League raundi ya pili
Novemba 30,2025 St Eloi Lupopo 1-1 Al Hilal Omdurman Magoli yamefungwa na Henock Molia dakika ya 79 Kea St Eloi Lupopo na dakika ya 12 kwa Al Hilal Omdurman kupitia Abdelrazing Abderraouf Omer. Stade Malien 2-1 Simba SC Magoli yamefungwa na Taddeus Nkeng dakika ya 16 na Ismaila Simpara dakika ya 23 kwa Stade Malien…