
BOSI MPYA MANCHESTER UNITED AVUNJA MKATABA
BOSI mpya wa Manchester United, Erik ten Hag amevunja mkataba wake ili kuiwahi klabu yake hiyo mpya tayari kwa kuweka mambo sawa. Ten Hag alitarajiwa kumaliza mkataba wake na Ajax, Juni 30, mwaka huu, lakini Jumatatu alitarajiwa kutua ndani ya Manchester United lakini sasa ameondoka zikiwa zimesalia wiki sita kabla ya kumalizana na timu yake…