Droo Yatingisha Ulaya: Man City Kukutana na Real Madrid

Hatua ya 16 bora imepangwa rasmi na sasa vigogo wa Ulaya wanakutana kwenye mapambano makali ya kusaka robo fainali: 🏴 Manchester City vs 🇪🇸 Real Madrid🏴 Chelsea vs 🇫🇷 Paris Saint-Germain🏴 Newcastle United vs 🇪🇸 Barcelona🏴 Liverpool vs 🇹🇷 Galatasaray🇩🇪 Bayer Leverkusen vs 🏴 Arsenal🏴 Tottenham Hotspur vs 🇪🇸 Atletico Madrid🇩🇪 Bayern Munich vs 🇮🇹…

Read More

Juventus Yaaga Ulaya kwa Maumivu, Galatasaray Yatinga 16 Bora kwa Jumla ya 7-5

Hatimaye safari ya Juventus katika Ligi ya Mabingwa Ulaya imefikia tamati baada ya kusukumizwa nje na Galatasaray kufuatia kipigo cha jumla cha mabao 7-5 katika michezo ya mchujo. Pambano hilo lililochezwa kwa presha kubwa na kuamuliwa katika dakika za nyongeza, liliacha mashabiki wa Turin wakiwa wamevunjika moyo huku Waturuki wakishangilia ushindi wa kihistoria. Juventus 3-2…

Read More

Real Madrid, PSG na Atalanta Zatinga 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya, Juventus OUT

Usiku wa kuamkia leo Februari 26, 2026 michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya umeshuhudia vigogo kadhaa wakifuzu hatua ya 16 bora baada ya michezo ya mchujo (playoffs), huku pambano la Juventus dhidi ya Galatasaray likiendelea kuandika historia kwa kuelekea dakika 30 za nyongeza kufuatia sare ya jumla. Real Madrid waliendeleza rekodi yao ya kuwa mabingwa…

Read More