
MKIA UNAPOKUWA MKUBWA KULIKO NG’OMBE
MWENDELEZO mwingine wa ile burudani kwa kila timu kusaka pointi tatu baada ya safari kuwa ndefu kwenye mzunguko wa kwanza huku vinara wakiwa ni Yanga. Kwa sasa ngoma ipo mzunguko wa pili kila timu zikipambana kusaka ushindi uwanjani. Ni Mei yule Ng’ombe aliyekuwa anakatwa vipande vidogovidogo kama anakaribia kufikia kwenye mkia ila upepo unaweza kubadilika…