
CHAMA LA SIMBA KAMILIKAMILI UTURUKI
JULAI 23 rasmi kipa Jefferson Luis Szerban de Oliveira alitambulishwa ndani ya Simba na yupo kambini Uturuki akiwa na wachezaji wengine na kufanya chama la Simba kuwa kamili gado. Ipo wazi kuwa msimu wa 2022/23 Simba walikuwa mashuhuda wa mataji yote yakienda kwa watani zao wajadi Yanga. Yanga ilitwaa taji la Ngao ya Jamii, Kombe…