AFCON 2025: Gabon 2-3 Msumbiji

JUMAPILI yenye utulivu imeshuhudia moja ya mchezo wenye ushindani mkubwa na dakika 90 zikikamilika kwa mabao 5 kufungwa uwanjani. Gabon 2-3 Msumbiji mchezo wa hatua ya makundi AFCON 2025 nchini Morocco Desemba 28,2025. Ni mchezo wa pili kati ya mitatu kwa kundi F. Magoli ya Gabon yamefungwa na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 45+5 na Moucketou-Moussounda…

Read More

Chelsea Yapigwa Nyumbani — Aston Villa Yaondoka na Ushindi wa 2–1 Stamford Bridge

Chelsea imejikuta ikipoteza pointi muhimu mbele ya mashabiki wake baada ya kukubali kichapo cha 2–1 dhidi ya Aston Villa katika mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa kwenye dimba la Stamford Bridge. Mchezo ulianza kwa kasi, na timu zote zilijaribu kumiliki mpira na kutengeneza nafasi. Aston Villa walionyesha utulivu mkubwa walipopata nafasi, jambo lililoanza kuzaa matunda…

Read More

EPL, Serie A na AFCON 2025 Mechi Zinazovutia Leo Mashabiki, Tanzania Vs Uganda

Anza kutengeneza pesa zako na wakali wa ubashiri Tanzania yaani Meridinabet kwani ODDS za kibabe zipo kwenye michuano hii mikubwa ya AFCON. Ingia kwenye akaunti yako na ubeti sasa. EPL kama kawaida itarindima ambapo Manchester City watakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Nottingham Forest huku mechi ya mwisho kukutana, Pep Guardiola na vijana wake walishinda….

Read More

Hiba Abouk Aomba Msamaha kwa Achraf Hakimi Baada ya Talaka, Mashaka Kuhusu Sababu Za Nje

Mke wa zamani wa nyota wa PSG, Achraf Hakimi, Hiba Abouk, amedaiwa kuomba msamaha na kueleza kuzungushwa na majuto kwa kuomba talaka. Vyanzo vya karibu vinavyomfahamu mwanamitindo huyo wa Hispania vinadai kwamba Abouk alitenda kwa mihemko baada ya kuathiriwa na marafiki wake, na sasa anamuomba Hakimi amrudie. Hata hivyo, hali hii imeibua mashaka miongoni mwa…

Read More