MUDA WA KAZI KWA TAIFA STARS NI SASA
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kwa sasa ipo kambini ikiwa ni maandalizi ya mwisho kwa ajili ya AFCON 2023 inayotarajiwa kufanyika Ivory Coast. Hii sio kazi rahisi kwa wachezaji kwa kuwa kila timu inahitaji matokeo ndani ya uwanja katika dakika 90. Kila mchezaji anajukumu la kuhakikisha kwamba anapambania kombe na kufanya vizuri kila akipata…