BETWAY TUNZO, MCHONGO MPYA UNAOWAPA WATEJA SABABU ZAIDI ZA KUCHEZA NA BETWAY
Betway, moja ya kampuni inayoongoza duniani kwenye michezo ya kubashiri, imejizatiti kuwapa wateja wake huduma mpya yenye kuvutia, kusisimua na ubunifu mkubwa ambao unaendelea kuboresha uzoefu wa mteja kwenye kubashiri. Ukizingatia wingi wa huduma za kipekee ambazo Betway imeleta karibu na mteja kama vile Win Boost, Bet Influencer, Bet Saver, Cash Out na nyingine kibao,…