
TAMBWE APEWA TUZO YA UFUNGAJI BORA
RAMADHAN Nswazurimo, Kocha Mkuu wa Klabu ya DTB inayoshiriki Championship ameweka wazi kuwa mshambuliaji wake Amisi Tambwe anaweza kutwaa tuzo ya ufungaji bora. Tambwe kwa sasa anakimbiza kwa kucheka na nyavu akiwa na mabao sita, aliweza kuzifunga African Lyon mabao manne,Green Warrior bao moja na bao lake la sita aliwatungua African Sports. Akizungumza na Saleh…