
NI KIVUMBI KWA MKAPA, SIMBA KUKIWASHA DHIDI YA CS CONSTANTINE
Michuano ya kombe la Shirikisho Afrika inaendelea kutimua vumbi leo Januari 19, 2024 huku wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye mashindano ya CAF, Simba Sc wakiwa kibaruani kwenye mchezo wa raundi ya mwisho wa Kundi A dhidi ya vigogo wa Algeria, CS Constantine katika dimba la Benjamin Mkapa. Simba Sc waliopo nafasi ya pili pointi 10…