
SPORTPESA KUDHAMINI TIMU YA WABUNGE
KAMPUNI ya michezo na burudani ya SportPesa leo Novemba 30 imetoa vifaa vya michezo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 20 kwa timu ya Bunge ambayo inatarajia kushiriki mashindano ya mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki mkoani Arusha. Makabidhiano hayo yamefanyika katika ukumbi wa habari ofisi za Bunge kabla ya kuanza…