XAVI KOCHA MPYA BARCELONA
XAVI Hernandez atakuja kuwa kocha mpya wa Barcelona baada ya mabosi wake Al Sadd kuthibitisha kuhusu hilo. Taarifa rasmi ambayo imetolewa na Al Sadd imeeleza kuwa wamefikia makubaliano mazuri na Xavi kuhusu suala la malipo pamoja na kumuacha aende kwa amani kuanza changamoto mpya. Xavi alikuwa anahusishwa kurejea kwa mara nyingine ndani ya Nou Camp…