WAAMUZI HAWA MAAMUZI YAO NI PASUA KICHWA
WAAMUZI wengi Bongo wamekuwa pasua kichwa hasa pale wanapopewa jukumu la kusimamia sheria 17 kwenye mechi zinazowahusu Simba na Yanga kutokana na rekodi zao kuwa na utata. Asilimia kubwa waamuzi hao wameonekana kushindwa kwenda na kasi ya mchezo ama kufanya vizuri mwanzo ila ikifika mwisho wanaboronga mazima kwa mujibu wa rekodi. Kwa mujibu wa Mwenyekiti…