
SIMBA WAZINDUA JEZI ZA KOMBE LA SHIRIKISHO
Klabu ya Simba leo Februari 10, 2022 imezindua rasmi jezi mpya ambazo zitakuwa zinatumika kwenye michuano ya kimataifa ambayo klabu hiyo ipo hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. “Leo tunaonyesha jezi yetu ya michuano ya kimataifa ikiwa na logo ambayo inazingatia mambo yote ya utalii. Jezi zitaanza kuuzwa kesho kwenye maduka ya Vunja…