YANGA HAWANA HABARI NA ISHU YA KOCHA SIMBA
WAKATI wengi wakisema ujio wa kocha mpya wa Simba, Pablo Franco utakuwa ni changamoto kubwa kwa Yanga kutokana na wasifu mkubwa alionao, lakini uongozi wa Yanga wala hauna presha wakimuamini kocha wao, Nasreddine Nabi. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu Simba imtangaze kocha huyo raia wa Hispania aliyekuja kuchukua nafasi ya Mfaransa, Didier Gomes na jana Novemba 10 aliwasili Dar kwa ajili ya kuanza kufanya kazi kwenye benchi…