
KLOPP AKIRI KUWA WALIKUWA WANAMHITAJI MBAPPE
KOCHA Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp ameweka wazi kwamba walikuwa na mpango wa kuinasa saini ya nyota wa PSG, Kylian Mbappe. Klopp amebainisha kwamba wao sio vipofu kwenye kuingia vita vya kusaka saini yake kwa kuwa kuna timu zenye nguvu kubwa. Klopp ameweka wazi kwamba kwa sasa hawawezi kushindana na Real Madrid pamoja na mabosi…