
LIVERPOOL YAICHAPA ARSENAL 2-0, YAISOGELEA MANCHESTER CITY
VIJANA wa Jurgen Klopp wa Liverpool walizima ndoto za vijana wa Mikel Arteta wa Arsenal kuvuna pointi katika mchezo wa Ligi Kuu England. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Emirates uliasoma Arsenal 0-2 Liverpool mbele ya mashabiki 59,968. Diogo Jota kipindi cha pili dk 54 alijaza kimiani na bao la pili lilijazwa kimiani…