DOTTO SHABAN BEKI PRISONS ANAAMINI WATABAKI LIGI KUU
KWENYE upande wa ukuta taratibu Tanzania inazidi kuwa imara ambapo kwenye timu ya taifa uhakika uwepo wa Bakari Mwamnyeto,Shomari Kapombe na Mohamed Hussein huku ngoma nzito ikiwa upande wa washambuliaji. Wakati tatizo la ushambuliaji likitafutiwa tiba,kuna kijana mwingine wa kazi katika eneo la ulinzi anaitwa Dotto Shaban yupo zake ndani ya kikosi cha Tanzania Prisons….