
SIMBA KAZINI TENA LEO KIMATAIFA
KIKOSI cha Simba leo kitakuwa na kazi ya kusaka ushindi dhidi ya Al Hilal ukiwa ni mchezo wa kimataifa wa kirafiki wakiwa nchini Sudan. Utakuwa ni mchezo wa pili leo baada ya ule wa awali kuweza kushinda mabao 4-2 Asante Kotoko. Seleman Matola, Kocha Msaidizi wa Simba ameweka wazi kuwa mchezo wa leo ni muhimu…