
LIGI YA MABINGWA AFRIKA: de AGOSTO 0-1 SIMBA
BAO la Clatous Chama ni la kwanza kufungwa ugenini na dakika 45 zimekamilika de Agosto 0-1 Simba, mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Ni pasi ya Augustino Okra imetumika dakika ya 8 ikiwa ni mapema kabisa kwenye mchezo huo. Utulivu wa Chama umeipa uongozi Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda na msaidizi wake Seleman…