Saleh

HAALAND AWEKA REKODI PREMIER

ERLING Haaland mshambuliaji wa Manchester City wakati timu yake ikishinda mabao 3-0 dhidi ya Wolves ugenini ameandika rekodi nyingine tena. Ni bao la Jack Grealish dakika ya kwanza kisha likapachikwa bao na Haaland mwenyewe dakika ya 16 na lile la tatu ilikuwa ni kazi ya Phil Foden dakika ya 69. Nyota huyo anaweka rekodi ya…

Read More

UKUTA WA WANANCHI MGUMU DAKIKA 180 KIMATAIFA

UKUTA wa Yanga kimataifa ndani ya dakika 180 haujaokota bao katika hatua za awali mbele ya Zalan FC. Mchezo wa kwanza nyota wa Yanga ikiwa ni pamoja na Dickosn Job, Bakari Mwamnyeto, Kibwana Shomari hawakuokota bao sawa na ule wa pili, yote ilichezwa Uwanja wa Mkapa. Ni mabao 9 wameweza kufunga Yanga na kinara wao…

Read More

KUTOKA KWENYE SIMULIZI ZA KNUD, MPAKA KWENYE USHINDI MKUBWA MERIDIANBET!

Turejee kutoka kwa mbobevu wa simulizi za Eskimo bwana Knud mpaka kwenye uhalisia wa ushindi wa kasino ya Mtandaoni kwenye Book of Eskimo, kutoka Expanse Studio, pale Meridianbet.   Bila shaka kila mmoja anapenda kusikia watu wakismuliana stori kuhusu uthubutu wake na ushujaa alionao – ila hii haitokei pale usipokuwa mshindi! Kasino ya Meridianbet inakusogeza…

Read More

NAMUNGO YASEPA NA POINTI ZA COASTAL UNION

NAMUNGO FC imesepa mazima na pointi tatu mbele ya Coastal Union kwa ushindi wa bao 1-0. Kwenye mchezo huo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Majaliwa ni bao la Relliats Lusajo dakika ya 38 limetosha kuipa ushindi. Ni kwa mkwaju wa penalti Lusajo amefunga ikiwa ni bao lake la kwanza kufunga kwa penalti baada ya yale…

Read More

GEITA GOLD WAMEUMALIZA MWENDO KIMATAIFA

MWENDO wa Geita Gold kimataifa umegota mwisho leo Septemba 17,2022 baada ya kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Hilal Al Sahil SC. NI faida ya bao la ugenini wanapata wapinzani wa Geita Gold ambao mchezo wa kwanza uliochezwa ugenini walishinda kwa bao 1-0. Juma ni mabao 2-2 wanakuwa wamefungana na kuifanya Geita Gold kufungashiwa virago…

Read More

YANGA YAICHAPA KICHAPO ZALAN KWA MKAPA

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga ambao wanaiwakilisha Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wameibuka na ushindi mkubwa wa mabao 5-0 dhidi ya Zalan FC. Ni kwenye mchezo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika na kuwafanya washinde kwa jumla ya mabao 9-0 dhidi ya Zalan FC ukiwa ni ushindi mkubwa kutokea kwa hivi…

Read More

LUSAJO ANATUPIA TU HUKO

RELLIATS Lusajo kasi yake ya kucheka na nyavu imezidi kushika kasi baada ya leo kupachika bao lake la tano ndani ya Ligi Kuu Bara. Ni mbele ya Coastal Union dakika ya 38 kwa mkwaju wa penalti kwenye mchezo unaochezwa Uwanja wa Majaliwa,Ruangwa, Lindi. Mzawa huyo kwa sasa ni namba moja kwa kucheka na nyavu akiwa…

Read More

KIMATAIFA:YANGA 0-0 ZALAN FC

UWANJA wa Mkapa, mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya awali ubao unasoma Yanga 0-0 Zalan, FC. Hakuna mbabe kwa timu zote mbili kwa sasa ndani ya dakika 45 huku Yanga ikionekana kuanza kwa kasi kuliandama lango la Zalan FC. Mashuti 8 Yanga wamepiga hajalenga lango huku Zalan FC wao wakipiga shuti moja ambalo…

Read More

GEITA GOLD: MAKOSA YETU TUMEFANYIA KAZI

KOCHA Msaidizi wa Geita Gold, Mathias Wandiba ameweka wazi kuwa makosa ambayo waliyafanya kwenye mchezo wa kwanza wameyafanyia kazi leo watayarekebisha. Jana Septemba 16, 2022 Geita Gold ilifanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa Azam Complex kujiweka sawa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Hilal Al Sahil. Kwenye mchezo wa kwanza wakiwa…

Read More

SIMBA: TUPO TAYARI KUIKABILI BIG BULLETS

NAHODHA Msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Nyassa Big Bullets unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda itaingia uwanjani ikiwa na faida ya mabao 2-0 ambayo waliyapata ugenini na ina rekodi ya kutolewa na Jwaneng Galaxy Uwanja wa Mkapa…

Read More