
MSHERY KAONYESHA ANAWEZA AKIAMINIWA, KAZI BADO
ANAZIDI kuimarika akiwa langoni, Aboutwalib Mshery na alipewa dakika 90 mbele ya Zalan FC mchezo wa kwanza na ule wa pili alitumia dakika 45. Sababu ya kupewa nafasi kikosi cha kwanza ni kutokana na maumivu ambayo alikuwa nayo kipa namba moja, Diarra Djigui hivyo kazi ikawa kwake kutimiza majukumu ya timu. Kutinga hatua ya awali…