
TIMU YA TAIFA U 23 YAWAFUATA SUDAN KUSINI
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Vijana Chini ya Miaka 23, leo Septemba 24 kimeanza safari kuelekea Rwanda. Kinatarajiwa kucheza na Timu ya Taifa ya Sudan Kusini kwenye mchezo wa marudiano kuwania kufuzu AFCON. Mchezo wa kwanza uliochezwa jana Septemba 23, Uwanja wa Azam Complex ubao ulisoma Tanzania 0-0 Sudan Kusini. Hemed Morocco, Kocha Mkuu…