
SIMBA YA JUMA MGUNDA YAWEKA REKODI DK 180
NDANI ya dakika 180, Zanzibar, Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda ameshuhudia wachezaji wake wakishinda mechi zote mbili. Kwenye mechi hizo Simba haijaruhusu bao la kufungwa huku ikifunga jumla ya mabao manne, moja ni kwa pigo la penalti. Mchezo wa kwanza ilikuwa dhidi ya Malindi FC ambapo Simba ilishinda bao 1-0 huku mtupiaji akiwa ni…