Saleh

HUYU HAPA KOCHA MPYA SIMBA

INAELEZWA kwamba, Kocha Mkuu wa APR ya Rwanda, Mohammed Adil Erradi, ametua Dar kimyakimya kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi wa Simba huku akiwa ameomba ruhusa ya mapumziko katika klabu yake. Simba imekuwa katika kipindi cha kufanya mabadiliko makubwa ndani ya timu hiyo kutokana na kutokuwa na matokeo mazuri ikishindwa kutetea mataji yake yote…

Read More

NTIBANZOKIZA ATAJWA KUIBUKIA SINGIDA BIG STARS

SAID Ntibanzokiza, aliyekuwa nyota wa kikosi cha Yanga anatajwa kuibukia ndani ya kikosi cha Singida Big Stars ambayo zamani ilikuwa inaitwa DTB. Timu hiyo imepanda Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2021/22 ikitokea Championship na msimu ujao wa 2022/23 itakuwa ndani ya ligi. Habari zimeeleza kuwa timu hiyo ambayo itakuwa na maskani yake Singida huku…

Read More

KOMBE LA DUNIA NDANI YA TANZANIA

KOMBE la Dunia kwa sasa lipo kwenye ardhi ya Tanzania, Dar ndipo linapatikana kwa sasa. Hii ni desturi ya Shirikisho la Soka la Kimataifa, (Fifa) huwa wanakuwa na desturi ya kulitembeza Kombe la Dunia ambalo kwa mwaka 2022 linatarajiwa kuanza Novemba 21 hadi Desemba 18 huko Qatar.  Jana Mei 31 Rais wa Tanzania, Samia Hassan Suluhu,…

Read More

BREAKING:RASMI SIMBA YAMFUTA KAZI PABLO FRANCO

LEO Mei 31 Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu Pablo Franco Martin raia wa Hispania. Katika taarifa iliyotolewa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez, imeeleza kuwa katika kipindi chote cha kumalizia msimu, timu itakuwa chini ya kocha msaidizi, Seleman Matola. Taarifa hiyo imeongeza kuwa pia…

Read More

UKIFUNGWA LAZIMA UKUBALI MAISHA YAENDELEE

MWENDO ambao unaendelea kwa sasa kwenye ligi ni lazima kila mmoja aweze kupambania kile ambacho anakitaka kwa kuwa hakuna timu inayokubali kufungwa. Kila mechi inayochezwa imekuwa na ushindani mkubwa na hili ni jambo la muhimu kwa kila mmoja kukubali kile ambacho kinatokea. Ikitokea timu ikafungwa kwa makosa yao basi inapaswa kukubali hali halisi kwamba imepoteza…

Read More

YANGA:TUMEONDOA MATUMAINI YOTE YA SIMBA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba umeondoa matumaini yote ambayo walikuwa nayo watani wao wa jadi Simba kutwaa mataji msimu huu. Simba ilikuwa inatetea taji la Kombe la Shirikisho na kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 mbele ya Yanga. Kwenye upande wa Ligi Kuu…

Read More

PABLO FRANCO KUKUTANA NA MABOSI SIMBA

PABLO Franco,Kocha Mkuu wa Simba anatarajiwa kukutana leo na uongozi wa Simba ili kuweza kuzungumza kuhusu mwendo wake ndani ya kikosi hicho. Kocha huyo baada ya kurithi mikoba ya Didier Gomes malengo yote ambayo alikabidhiwa na timu yameyeyuka jumlajumla jambo linalofanya nafasi yake kuwa kwenye wakati mgumu. Moja ya malengo ilikuwa ni kutetea mataji yaliyokuwa…

Read More

POLISI TANZANIA YAIMALIZA BIASHARA UNITED

POLISI Tanzania wamendeleza kasi ya msako wa pointi tatu baada ya kushinda kwa mabao 2-0 Biashara United. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Ushirika Moshi,Mei 30 uliwafanya mastaa wa Polisi Tanzania kuwa na furaha baada ya ushindi huo. Ni ushindi wa pili mfululizo Polisi Tanzania inashinda baada ya kushinda mbele mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar….

Read More

WINGA MANE ATAJWA KUIBUKIA BAYERN MUNICH

STAA wa Liverpool, Sadio Mane ametangaza kuondoka ndani ya kikosi hicho msimu ujao wa 2023/24 hivyo hatakuwa miongoni mwa wale ambao watashiriki Ligi Kuu England akiwa na timu hiyo. Nyota huyo ambaye ni kiungo raia wa Senegal anatajwa kutua ndani ya kikosi cha Bayern Munich. Nyota huyo alitoa maamuzi yake ya kuondoka ndani ya Liverpool…

Read More

BEKI HUYU AWEKWA RADA ZA YANGA

IMEELEZWA kuwa Klabu ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ipo kwenye hesabu za kuwania saini ya Mustafa Kiza. Nyota huyu ni beki raia wa Ugada hivyo anakuja kuongeza nguvu kwenye upande wa ulinzi ndani ya kikosi hicho. Yanga imekuwa imara kwenye upande wa mabeki msimu huu ikiwa ni timu namba moja iliyofungwa mabao…

Read More

KAPOMBE AWEKWA KANDO TIMU YA TAIFA YA TANZANIA

 BEKI wa Simba, Shomari Kapombe ameondolewa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kinachojiandaa kucheza na Niger na nafasi yake imechukuliwa na Lusajo Mwaikenda wa Azam FC. Kapombe ameondolewa kwenye kikosi cha Stars kutokana na kusumbuliwa na majeraha aliyopata wakati akiwa ndani ya kikosi cha Simba. Nyota huyo aliumia kwenye mchezo wa…

Read More

YANGA WAACHANA RASMI NA KIUNGO NTIBANZOKIZA

 LEO Mei 30,2022 Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kuachana na mchezaji wake Saido Ntibazonkiza baada ya kumalizika kwa mkataba wake wa miaka miwili. Katika taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga,imeeleza kuwa Ntibazonkiza amemaliza utumishi wake ndani ya klabu hiyo. Taarifa hiyo imeeleza namna hii:”Uongozi wa Klabu ya Yanga unapenda kutoa shukrani za…

Read More

MASTAA WATATU SIMBA WAWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA

 WACHEZAJI watatu wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco wanawania tuzo ya mchezaji bora. Tuzo hiyo ni maalumu kwa ajili ya mashabiki ambao wamekuwa wakichagua mchezaji kupitia njia ya mtandao kwa kumpigia kura mchezaji wanayempenda ili aweze kusepa na tuzo hiyo. Ni kiungo mzawa Mzamiru Yassin kiungo wa kazi, Rally Bwalya pia…

Read More