
SERENGETI GIRLS YAFANYA KWELI MBELE YA UFARANSA
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake chini ya miaka 17, Serengeti Girls jana kilipata ushindi wa kwanza katika michuano ya Kombe la Dunia. Michuano hiyo inaendelea nchini India ambapo ushindani umekuwa mkali kwa kila timu ambazo zinashuka uwanjani ndani ya dakika 90 kusaka ushindi. Ni ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Ufaransa…