
MAJINA MATANO YATAKAYOPEWA MIKATABA YANGA
MAJINA matano yatakayopewa mikataba ndani ya kikosi cha Yanga yamependekezwa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi
MAJINA matano yatakayopewa mikataba ndani ya kikosi cha Yanga yamependekezwa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi
ALPHONSO Davies ameweka rekodi yake ya kuwa nyota wa kwanza kufunga bao la mapema zaidi kwenye Kombe la Dunia Qatar 2022. Ilikuwa dakika ya 2 alipachika bao hilo lakini halikutosha kuipa pointi tatu timu yake kwa kuwa baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Khalifa ulisoma Croatia 4-1 Canada. Kwenye kundi F, Canada imetolewa…
MABAO matano yamekusanywa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji Azam FC na Coastal Union. Baada ya dakika 90, ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Azam FC 3-2 Coastal Union. Coastal Union walianza kupata bao la utangulizi dakika ya 14 kupitia kwa Betrand Ngafei lilidumu mpaka muda wa mapumziko. Kipindi cha pili…
Siku ni Jumatatu na Jumanne wakati ambao wengi wanakuwa kwenye mihangaiko ya kutafuta chochote kitu, ili mkono uende kinywani, sikia mdau! Meridianbet hawakuachi ukateseka, msimu huu wa kombe la dunia wanakupa machaguo special kwa ODDS kubwa na Bomba, kikubwa ni wewe kubeti bila kuchoka tena ukibeti kwa kitochi dau lako la chini tu TZS 250/=…
DAKIKA 90 zimekamilika Uwanja wa Ushirika Moshi na ubao umesoma Polisi Tanzania 1-3 Simba. Simba walianza kufunga mabao yote hayo matatu ambapo kipindi cha kwanza walifunga mabao mawili kupitia kwa John Bocco dakika ya 332 na bao la pili ni Moses Phiri dakika ya 43. Kipindi cha pili Polisi Tanzania waliongeza umakini na nguvu ya…
ULIMWENGU wa mpira umeshuhudia maajabu leo baada ya timu ya taifa ya Morocco kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu ya taifa ya Ubegiji. Ngoma ilikuwa nzito kuamini kwamba Morocco ingeibuka na ushindi kwenye mchezo huo ambao ulikuwa na ushindani mkubwa lakini maajabu ya mpira yamekamilika. Ni mabao ya Abdelhamid Sabri dakika ya…
WAKIWA Uwanja wa Ushirika Moshi, ubao unasoma Polisi Tanzania 0-2 Simba mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Ni mabao ya dakika ya 32 kupitia kwa John Bocco na lile la pili ni mali ya Moses Phiri ambaye amefunga dakika ya 43. Mchezo kwa sasa ni mapumziko ambapo dakika 30 za mwanzo ilikuwa kila timu inafanya…
KIKOSI cha Azam FC kinachonolewa na Kaimu Kocha Mkuu, Kali Ongala leo kitakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Coastal Union. Azam FC imetoka kushinda bao 1-0 dhidi ya Namungo FC na imekuwa kwenye kasi bora ndani ya ligi kwa mechi za hivi karibuni. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex saa 1:00…
HIKI hapa kikosi cha Simba kitakachoanza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania:- Aishi Manula Gadiel Michael Shomari Kapombe Joash Onyango Henock Inonga Sadio Kanoute Pape Sakho Mzamiru Yassin Moses Phiri Clatous Chama
ALLY Kamwe atema shombo kumchapa Mbeya City mabao 2-0 Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Fatma Nyangasa ametoa wito kwa makampuni mbalimbali kuiga mfano wa Kampuni ya Meridianbet Tanzania, Ameyasema hayo wakati akiongoza zoezi la Usafi katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo kwa kushirikiana na Kampuni ya Meridianbet Tanzania kama vile maeneo ya kituo cha daladala cha Kivukoni Feri. Katika zoezi hilo la kuweka mazingira…
KIMATAIFA mkwanja Simba waongezwa ili kufika mbali kimataifa
MABINGWA watetezi wa Kombe la Dunia Ufaransa ni timu ya kwanza kutinga hatua ya 16 kwenye mashindano hayo makubwa nchini Qatar. Ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Denmark umeipa tiketi timu hiyo kutangulia mbele ikipewa nafasi ya kuendelea kuleta ushindani. Katika Uwanja wa 974 ambao umejengwa kwa idadi hiyo ya makontena kwa Ufaransa staa wao…
LIONEL Messi nahodha wa timu ya Taifa ya Argentina amesema kuwa kwa sasa hawana chaguo ni lazima wapambane wenyewe kupata matokeo. Nyota huyo kwa sasa ametupia mabao mawili kwenye Kombe la Dunia nchini Qatar baada ya kufunga wakati ubao wa Uwanja wa Lusail Iconi uliposoma Argentina 2-0 Mexico. Messi alipachika bao hilo dakika ya 64…
FISTON Mayele amefikisha mabao 10 kwenye Ligi baada ya leo kutupia mabao mawili mbele ya Mbeya City. yanga imesepa na pointi tatu jumlajumla za Mbeya City kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa ambapo alifunga bao la kwanza dakika ya 24 na lile la pili dakika ya 70. Ushindi huo unaifanya Yanga kufikisha jumla ya mechi…
NOVEMBA 26,2022 Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi Simba, Boniface Lyamwike ametangaza rasmi siku ya uchaguzi mkuu wa Simba kwenye nfasi mbalimbali. Lyamwike amesema:-“Nawatangazia wanachama wa Simba, wapenzi na mashabiki kwamba tarehe ya uchaguzi wa Simba itakuwa ni tarehe 29 Januari, 2023. “Mwaka huu kanuni ambazo zitatumika kwenye uchaguzi wa Simba ni kanuni za Simba Sports…
NYOTA wa timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo ameweka historia kwa mara nyingine kwa kuiongoza timu hiyo kushinda mbele ya Ghana. Ghana kutoka Afrika haikuwa na bahati kwenye mchezo uliochezwa Alhamisi baada ya kutunguliwa mabao 3-2. Nyota huyo alifunga kwenye mchezo huo na aligoma kujibu swali kuhusu kuondoka kwake ndani ya kikosi cha Manchester…