Man City Mabingwa Carabao Tena, O’Reilly Aizamisha Arsenal Wembley
Manchester City wameendelea kuthibitisha ubora wao katika soka la England baada ya kutwaa ubingwa wa Carabao Cup kwa mara ya tisa kihistoria, kufuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Arsenal katika dimba la Wembley Stadium. Ubingwa huo unaifanya City kuongeza rekodi yao ya mafanikio katika michuano hiyo, wakiongeza taji la mwaka 2026 kwenye orodha yao…