
SIMBA 1-1 PRISONS
UBAO wa Uwanja wa Mkapa dakika 45 zimekamilika ukisoma Simba 1-1 Tanzania Prisons. Uzembe wa kipa namba moja wa Simba, Air Manula kwenye kuokoa mpira wa hatari uliopigwa na Kimenya umeigharimu timu yake. Pongezi kwa mfungaji Jeremia Juma ambaye alikuwa kwenye eneo akiwa ametulia kama maji kwenye mtungi akamchagulia eneo la kumtungua Manula ambaye alikuwa…