
PUMZIKA KWA AMANI NYOTA WA MPIRA
UONGOZI wa Ruvu Shooting umeweka wazi kuwa umempoteza shujaa ambaye alikuwa mchezaji wa timu hiyo. Ni Graham Enock Naftari ambaye alikuwa mchezaji wa timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Bara Tanzania alitangulia mbele za haki Desemba Mosi. Taarifa iliyotolewa na Ruvu Shooting ilieleza kuwa nyota huyo alipatwa na umauti akiwa kwenye matibabu Hospitali ya Taifa ya…