
YANGA KUJA NA MBINU TOFAUTI KUIKABILI TP MAZEMBE
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa watabadili mbinu kwenye mchezo wao dhidi ya TP Mazembe huku akija kwa utofauti kulingana na mchezo husika. Nabi alikuwa benchi kwenye mchezo uliopita ugenini wa hatua ya makundi aliposhuhudia ubao ukisoma US Monastir 2-0 Yanga nchini Tunisia. Leo unatarajiwa kuchezwa mchezo wa pili dhidi ya TP Mazembe…