Saleh

AZAM YAPOTEZA MBELE YA DODOMA JIJI

DODOMA Jiji wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Jamhuri,Dodoma. Bao pekee la Azam FC limefungwa na Ayoub Lyanga ambaye alipachika bao hilo dakika ya 60 na kumfanya afikishe mabao mawili kwenye ligi. Ni Muhsain alipachika bao dakika ya 27 na Collins Opare…

Read More

SIMBA WAJA NA MTOKO WA FAMILIA

BAADA ya ushindi wa mabao 3-1 waliopata dhidi ya Singida Big Stars kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, kesho Simba wanatarajia kumenyana na Al Hilal. Mchezo huo ambao Simba watajitupa kesho Uwanja wa Mkapa ni wa kimataifa wa kirafiki ikiwa ni maandalizi ya mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya…

Read More

MATHEO ANTHONY KUIKOSA RUVU SHOOTING

MATHEO Anthony, nyota wa KMC kesho anatarajiwa kuukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri,Morogoro saa 10:00 jioni. Sababu za nyota huyo kuukosa mchezo huo ni kutokuwa fiti baada ya kupata maumivu. Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo…

Read More

YANGA KAMILI KUIVAA NAMUNGO

KWENYE mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Majaliwa, Namungo ilipoteza pointi tatu mazima hivyo leo ina kazi nyingine ya kujiuliza mbele ya Yanga.  Aziz KI kiungo mshambuliaji wa Yanga ambaye ni mtaalamu kwenye mapigo huru alikuwa sababu kwenye bao la kwanza lililowavuruga Namungo. Pigo lake la faulo akiwa nje kidogo ya 18 lilimshinda…

Read More

AZAM FC WATUA NDANI YA DODOMA

MSAFARA wa Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Kali Ongala umefika salama makao makuu ya Tanzania, Dodoma kwa walima Zabibu. Azam FC kesho Januari ina kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Ni msafara wa wachezaji 24 ambao wamejumuishwa kwenye kikosi hicho ikiwa ni pamoja na Prince…

Read More

SIMBA 2-1 SINGIDA BIG STARS

VIUNGO wameamua kuonyesha makeke yao ndani ya Uwanja wa Mkapa ambapo ubao unasoma Simba 2-1 Singida Big Stars ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara.  Kiungo Clatous Chama amefikisha jumla ya pasi 14 akitoa ile ya kwanza kwa Jean Baleke dakika ya 8 na ile ya pili dakika ya 20 kwa Saidi Ntibanzokiza. Bonge moja…

Read More

JESHI KAMILI LA SINGIDA BIG STARS V SIMBA NOMA SANA

WAKULIMA wa Alizeti, Singida Big Stars leo wana kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Simba mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Hiki hapa kikosi kazi kinachotarajiwa kuanza namna hii:- Benedickt Haule Nicloas Gyan Nickson Kibabage Biemes Carno Pascal Wawa Aziz Andambwile Kelvin Nashon Yusuph Kagoma Meddie Kagere Bruno Gomez Franck Kazady Akiba Michael Christian…

Read More

HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA SINGIDA BIG STARS

KIKOSI cha Simba kina kazi ya kusaka ushindi dhidi ya Singida Big Stars mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Hiki hapa kikosi cha kwanza ambacho kinatarajiwa kuanza namna hii:- Aishi Manula Shomary Kapombe Mohamed Hussein Joash Onyango Henock Inonga Sadio Kanoute Pape Sakho Baleke Mzamiru Yassin Ntibanzokiza Clatous Chama Akiba ni Beno Kakolanya Nyoni Gadiel…

Read More