
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa maandalizi ya kuwakabili wapinzani wao Marumo Gallants yanakwenda sawa. Kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi tayari kimetia timu Afrika Kusini kwa mpango kazi wa kusaka ushindi Mei 17. Mchezo huo ni hatua ya nusu fainali ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika ambapo mshindi wa jumla…
KOCHA Mkuu wa Ruvu Shooting, Mbwana Makata amesema kuwa miongoni mwa sababu ambazo zimefanya timu hiyo kushindwa kubaki ndani ya ligi ni pamoja na suala la usajili na ubora wa wachezaji. Mei 12 ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Simba na kuifanya iwe timu ya kwanza kushuka daraja, msimu ujao itashiriki Championship. Imegotea nafasi…
ROBERTO Oliveira raia wa Brazil ambaye anainoa Simba na Nasreddine Nabi raia wa Tunisia ambaye anainoa Yanga wamelipana kwa vitendo ndani ya dakika 90 kwenye mechi tofauti. Ni Oliveira alianza kukiongoza kikosi chake Mei 12 ubao wa Uwanja wa Azam Complex uliposoma Simba 3-0 Ruvu Shooting nyota wake alibadilisha usomaji wa matokeo na kuwa ‘super…
BRIGHTON hawana kazi ndogo palepale wakiwa ugenini wamemtungua Arsenal na kusepa na pointi tatu mazima mbele ya washika bunduki. Ni Julio Enciso dakika ya 51, Deniz Undav dakika ya 86 na Pervis Estupinan dakika ya 90+6 alitupia kambani. Ilikuwa Uwanja wa Emirates wakati kazi hiyo ikipigwa ñdani ya dakika 90. Arsenal inabakiwa na pointi 81…
NABI ataja mashine 5 za kuwaua Marumo, Robertinho akabidhiwa faili la beki kisiki ndani ya Championi Jumatatu
UONGOZI wa Azam FC Umesema hautakubali kufanya makosa ya kuwaachia mastaa muhimu waondoke bure baada ya mikataba yao kumalizika wakikumbuka ya msimu wa mwaka 2017. Kwenye ligi Azam FC ipo nafasi ya tatu na ina pointi 53 vinara ni Yanga wenye pointi 74 na tayari wametangazwa kuwa mabingwa wa msimu wa 2022/23. Azam katika msimu…
PAPE Sakho ndani ya Ligi Kuu Bara katupia mabao 9 msimu wa 2022/23 aligotea kwenye mabao hayo dhidi ya Ruvu Shooting, Uwanja wa Azam Complex. Kinara wa utupiaji ni Fiston Mayele wa Yanga mwenye mabao 16 akiwa ametoa pasi mbili za mabao msimu wa 2022/23. Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira amesema kuwa kiungo huyo…
YANGA wametangazwa kuwa mabingwa wa 29 ndani ya Ligi Kuu Bara, vituko vya mastaa wa Yanga noma sana
KIUNGO wa Yanga, Aziz KI amesema kuwa anafurahi kuwa ndani ya kikosi cha Yanga na uwezo wake wa kuona wanapata ushindi kwenye mechi ambazo wanacheza na wanahitaji kufanya zaidi
Muonekano wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
BAADA ya kupata ushindi leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara rasmi Yanga wanakuwa ni mabingwa wa NBC Premier League. Unakuwa ni ubingwa wa 29 tangu kuanzishwa kwake ikiwa ni historia kubwa na nzuri kwa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi, Yanga wamefikisha pointi 74 ambazo hamna timu yeyote inaweza kufikisha ni baada…
KOCHA Mkuu wa KMC, Jamhuri Kihwelo, ‘Julio’ ameanza mikwara kwa kubainisha kuwa kinachotazamwa kwenye ligi ni namna ya kumaliza. Mbele ya Singida Big Stars inayonolewa na Hans Pluijm ilisepa na pointi tatu mazima. Ikumbukwe kwamba mchezo wake wa pili kukaa benchi akiwa na KMC baada ya kubeba mikoba ya Thiery Hitimana amesepa na pointi tatu….
WAKATI taarifa zikizagaa kuwa mwamba wa Lusaka, kiungo wa Simba Clatous Chama ameomba kuondoka hofu imeondolewa na uongozi wa timu hiyo. Kwenye msimamo Simba ipo nafasi ya pili na pointi zao ni 67 na vinara ni Yanga wenye pointi 71. Yanga imecheza mechi 27 na Simba imecheza mechi 28 msimu wa 2022/23. Taarifa zilikuwa zinaeleza…
TAJIRI awapa Mayele,Aziz KI mamilioni,usajili wa mpya Simba kufuru ndani ya Championi Jumamosi
KLABU ya Ruvu Shooting imeshuka daraja rasmi kutoka Ligi Kuu Bara hadi Championship (Ligi Daraja la Kwanza) msimu ujao baada ya kichapo cha mabao 3-0 kutoka kwa Simba katika mchezo wa 28 msimu huu uliochezwa Azam Complex, Chamazi. Mabao ya Simba yamefungwa na Clatous Chama dakika ya 30, Pape Sakho dakika ya 72 na 90…
MABOSI wa Dar, Azam FC wameanza hesabu kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC. Huo ni mchezo wa mzunguko wa pili unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Awali mchezo huo dhidi ya Namungo ulitarajiwa kuchezwa Jumamosi ya Mei 13 lakini umepelekwa mbele kwa muda wa siku moja ngoma itapigwa Mei 14…