
HUYU HAPA ‘MCHAWI’WA SIMBA
ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa miongoni mwa sababu zilizofanya wakagotea nafasi ya pili ni kuwa na wachezaji ambao hawapo fiti muda wote. Miongoni mwa wachezaji ambao msimu wa 2022/23 ndani ya kikosi cha Simba walikuwa wanapambania hali zao ni pamoja na kiungo Peter Banda, Agustino Okra, Moses Phiri na Aishi Manula. Simba…